Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Mkuu naeza pata stable version ya gcam redmi note 8

Ukifanikiwa ku install utasema tukupe na config file yake

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
ahaha mkuu haupo seriously.
nimeifanyia test hapo juu.
inakubali pia, kuna version niliwahi tumia sasa daah nilifutaga bahati mbaya na sina njia ya kupata tena.
em angalia angalia.

hii siyo mtk
ram 8 na 128 storage
Mimi mkuu sjaiona...na ni ngumu kupata gcam ya huawei kwasababu developer hawasupport...uliyotumia ww ni hiz za kubet..sio dedicated kabisa ..

Sasa hapo maana yake uanze kusaka moja moja..na ndomana hata ww imekuwia ugumu kuipata uliyoiotea...

Chakufanya download app inaitwa gcamator kisha install na run..hii itakwambia kama kuna gcam ina support simu yako itakuletea had link

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Mimi mkuu sjaiona...na ni ngumu kupata gcam ya huawei kwasababu developer hawasupport...uliyotumia ww ni hiz za kubet..sio dedicated kabisa ..

Sasa hapo maana yake uanze kusaka moja moja..na ndomana hata ww imekuwia ugumu kuipata uliyoiotea...

Chakufanya download app inaitwa gcamator kisha install na run..hii itakwambia kama kuna gcam ina support simu yako itakuletea had link

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Nimepatia au bado bado mkuu??
Screenshot_20210702-234431.jpg
Screenshot_20210702-234415.jpg
Screenshot_20210702-234326.jpg
 
Back
Top Bottom