Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

sure mkuu,,tusubr updates pengne watakuja na hzo features,,so far so good
 
Shukrani kwa thread Mkuu nimetafta link ya Grand prime samsung sijaipata msaada tafadhali
 
Mkuu simu yangu mimi ni Samsung Galaxy a10 ambayo ni SM-A105F ya mwaka 2019 na nimejaribu iyo link imegoma pia kuinstall
nilijua s10 mkuu[emoji16]

ngoja nichek kama kuna ya a10
 
Wide ange najua ataintroduce kwenye pixel 4 na 4 xl... kuna issue km zzooming.

Siwezi fananisha ability ya p20 pro kuzoom na hizo pixel
naamini inategemea & mapenzi ya mtu sana sana
mfano zooming ya hii huawei mpya ni wangapi wataitumia ipasavyo? makampuni muda mwingine huzindua kitu ilimradi wajitape kuwa wa kwanza kwenye hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…