Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Mkuu iyo imekubali naomba izo configuration
 
Mkuu iyo imekubali naomba izo configuration
Okey...sasa link za Google drive jf zinazungua...naweka link ya YouTube kweny description utaona link za configuration mbili..moja HDRX nyingine Pro max

Utapakua configs zote hizo mbili...ukisha malza njoo hapa nikwambie jins ya kulload configs zako kweny gcam

 
Nishapakua mkuu
 
Nishapakua mkuu
Sasa fungua gcam yako kisha kwa juu pale utaona kimshare kimeangalia chini,kiguse utaona zinakuja options kibao..chagua settings kisha fungua...ukifungua settings weka screenshot hapa nione options zinazokuja kwako
 
[emoji16][emoji16]
Mkuu nawezaje piga ultra wide ,macro Katika gcam? Maana kuna mtu kaniambia nikaenable Auxiliary Camera lakini Niki enable hiyo ni kweli options za macro na ultra wide zinakuja Ila nikipiga Tu picha inacrush na apps kujifunga mpaka niki clear data ndo unarudi kufanya kazi....natumia Nikita 7.4 v2
 
Click save hapo utaandika default then click ok...ukishamalza hivyo nenda kweny download folder kule..ka copy zile configs mbili ulizo download...then nenda kweny folder la Gcam lipo kweny file manager yako utaliona...fungua hilo folder ndan utakuta tena folder jipya limendikwa Configs7 lifungue na upaste zile file mbili humo..ukifanikiwa rudi hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…