Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Tayari mkuu
 
Mkuu kuna kitu unatakiwa ufanye ..inabid ujue Camera ID za simu yako kisha ukaset.manually ni ngumu kidgo kukueleza hiki kitu...

Nitakupa config moja ujarbu naona inakubal wide fresh
 
Tayari mkuu
Haya kafungue sasa gcam yako

Kisha double click eneo la kati kati ya shutter button na gallery utaambiwa choose config...gusa kimshale kidgo kimeangalia chini ili kuona config zako zile...chagua yyte kati ya zile mbili hdrx na pro max kisha piga chagua restore..hapo utakua umeload settings za configuration husika tayar..anzs kupiga picha..uone matokeo ,kisha rudia step ya ku double click pale kati uchague config nyinge.restore kisha piga picha uone nayo matokeo yake..itayokuvutia ndo utumie hyo
 
Mkuu oppo vipi A15 yakinyonge inasapot kweli hii kitu au nisubiri nikajichange change
 
Asante kama kuna changamoto nitarudi
 
Mkuu kuna kitu unatakiwa ufanye ..inabid ujue Camera ID za simu yako kisha ukaset.manually ni ngumu kidgo kukueleza hiki kitu...

Nitakupa config moja ujarbu naona inakubal wide fresh
Shukran mkuu Kuna configuration nimeipata hii imesetiwa automatically,hizo hapo zinaonekana.Sasa hapo Kati ya hizo options Tatu ipi ni wide,macro?
 
Shukran mkuu Kuna configuration nimeipata hii imesetiwa automatically,hizo hapo zinaonekana.Sasa hapo Kati ya hizo options Tatu ipi ni wide,macro?View attachment 1875513
Jarbu moja moja uone.. wide uki switch iko wazi tu utaona wideness kweny picha yako..au nenda kweny auxiliary camera kule uone kila camera icon yake kisha utakua ushajua
 
I think ukipata config ya simu yako exact inakuja na hizo option zote.

Mfano mimi hapo ilipoandika

0.6x ni Ultrawide angle lens

1x ni Main lens

2x ni Telephoto lens

I have tested kwa kuziba camera mojamoja inakubali.
 

Attachments

  • Screenshot_2021-07-31-21-20-21-550_org.codeaurora.snapcam.jpg
    14 KB · Views: 2
ntaleta mrejesho
mzee njoo nikuuzie Google pixel 3 kwa 540k full boxed slightly used nje na original accesories zote, camera experience sio ya nchi hii sijui nikuelezeeje hata, jaribu cheki YouTube review ya pixel 3 camera... also ipo Android 12 beta now soon wanaachia official release, hata note 20 au s21 hazina bado android 12 ... nicheki 0693225605
 
Hiyo camera experience inazidi iPhone?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…