Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Kuna hiyo na iPhone 12 Pro Max,hizo configuration mbili zipo njema Sana..na ndo nilizobaki nazo.
Yaa hiz mkuu hatar....na ndio config kubwa nnazo tumia....kuna moja nayo Inaitwa AZaiku kama sjakosea...sema ni ya BSG sio nikita...kali sana nayo...

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
kwenye simu yangu niliyonunua juzi ,nimeikuta Gcam already installed kweny simu na cha kufurahisha kwa specs ilizonazo na version hyo nahisi mm peke angu apa bongo ndo nayo .....

nawasalimu kwa kihaya
 
kwenye simu yangu niliyonunua juzi ,nimeikuta Gcam already installed kweny simu na cha kufurahisha kwa specs ilizonazo na version hyo nahisi mm peke angu apa bongo ndo nayo .....

nawasalimu kwa kihaya
Hahaha, Kweli huko ni kutusalimu Kwa jina la kihaya...!

Anyway ni simu gani hiyo ndugu nshomile
 
Yaa hiz mkuu hatar....na ndio config kubwa nnazo tumia....kuna moja nayo Inaitwa AZaiku kama sjakosea...sema ni ya BSG sio nikita...kali sana nayo...

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app

Huyu developer wa BSG sijawahi tumia bidhaa yake,Ukipata jina la hiyo configuration Kwa usahihi niambie niitafute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…