Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

MKUU inauzwa milioni mbili na laki nne duuu
 
P30 pro ndo mashine mjini mpaka sasahv Hana mpinzan
 
kwenye teknolojia ya camera sidhani kama kuna anaemzidi Google..
kampuni zingine zinatoa mpk simu za camera 4 & bado hawamfikii yeye mwenye camera moja!
Sio kwel mkuu fanya utafut waa kutosha ndo uje hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…