Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Kuna tatizo umekutana nalo?

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Hapna hakna tatizo IPO vzur Sana t kwa level za cmu zetu hizi bt Kuna kaalama nikigusa ndo naletewa hyo na kila nikipga picha idadi inapungua ya namba hzo Ila iko POA t au Kuna kingn Cha kufanya baada ya kuinstall na kuanza kutumia ??
 
Hii imepigwa na Redmi 9 na gcam option ni night sight. Nimetafuta gcam ya realme 6 na Samsung a51 nimekosa zote ninazopakuwa hazifanyi kazi. Kama kuna config za redmi 9 naombeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…