Hii simu inatumia gcam ndogo.. actually sio gcam yenyew kama gcam.. ni lite version ya gcam..kwaajil ya simu ndogo ndogo kwaiyo usitegemee makubwa sana kama ya gcam yenyewSitumii yoyote mkuu sijui niweke ipi nimetafuta siiipati gcam ya c12
Poa mkuu imekubali vipi hamna conf zake au ni sawa hapa.Hii simu inatumia gcam ndogo.. actually sio gcam yenyew kama gcam.. ni lite version ya gcam..kwaajil ya simu ndogo ndogo kwaiyo usitegemee makubwa sana kama ya gcam yenyew
Greatness: CameraGo_2.5_Greatness_Special-2
Download CameraGo_2.5_Greatness_Special-2 By Greatness.www.celsoazevedo.com
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Hii sjawah ona ikiwa na config mkuuPoa mkuu imekubali vipi hamna conf zake au ni sawa hapa.
Powa mkuu.
Mkuu shukrani sana mi nimepakua kwenye S21 ultra 5G imekubali, je natakiwa kufanya comfigurations au nitumie tu hivyo hivyo? Kiukweli ni nzuri.
Kuna gcam ndogo ndio inafaa kweny hizo simu ndogo ndogo..sema sio kal sana kma gcam yenyewSorry kaka, Kuna ka phone kanatoka ng'ambo uko ka Samsung Galaxy a31, itasupport Gcam? If yes, please do me favor ya camera link Yake! [emoji120]
Mkuu unaweza tumia hivyo hivyo ila.ukiweka configuration itakua nzuri zaidiMkuu shukrani sana mi nimepakua kwenye S21 ultra 5G imekubali, je natakiwa kufanya comfigurations au nitumie tu hivyo hivyo? Kiukweli ni nzuri.
Mkuu mbona hujanipa jibu kuhusu Galaxy M21, nimeistall lakini baadhi ya features kama potrait hazidisplay au ni version tofauti..naomba nichekie link pamoja na config zakeMkuu unaweza tumia hivyo hivyo ila.ukiweka configuration itakua nzuri zaidi
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
M21 inatumia gcam ndogo sanaMkuu mbona hujanipa jibu kuhusu Galaxy M21, nimeistall lakini baadhi ya features kama potrait hazidisplay au ni version tofauti..naomba nichekie link pamoja na config zake
Mkuu unafanyaje?Mkuu unaweza tumia hivyo hivyo ila.ukiweka configuration itakua nzuri zaidi
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Ni pm nikupe link..haja jf hazikaiMkuu unafanyaje?
Link mkuu na configs zake
Hyo gcam haina config..ni ndogo sanaLink mkuu na configs zake
Naipata wap hii
zttps://drive.google.com/file/d/1-ulX6ixaqv6cjR9XNhnfz6M_Kely2kbJ/view
Shukranzttps://drive.google.com/file/d/1-ulX6ixaqv6cjR9XNhnfz6M_Kely2kbJ/view
Toa z hyo mwanzo weka h utaipata.link kamili
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Hamuelewi yani [emoji1]Mwaka unaisha na watu wa Samsung A50 hatujafaidika na Google camera bado
Kabisa mkuu ,tunaona watu wanavyotamba humu na gcam