Hivi wa S10 plus wanatumia link gani mkuu?
Ngoja tupekue za kubet na leoKabisa mkuu ,tunaona watu wanavyotamba humu na gcam
Tumia post no 3522Hivi wa S10 plus wanatumia link gani mkuu?
Hapo configuration unaweka vipi?Mkuu unaweza tumia hivyo hivyo ila.ukiweka configuration itakua nzuri zaidi
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Click save hapo,kisha utaandika default then okHapo configuration unaweka vipi?View attachment 2044668
Nikashakopi naipaste kwenye hiyo save tena au?Click save hapo,kisha utaandika default then ok
Utaenda kweny file manager uta copy configs zako kweny folder la gcam ndan yake utaona Configs7,humo ndio una paste configs zako, configs unazo?
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Hizi A series za S hazina gcam yenyew ile.. znatumia gcam lite edition,ni ndogo na usitegemee makubwa kama ya gcam yenyew...Fanya mpango wa A21s mkuu samsung
Una paste kweny config7Nikashakopi naipaste kwenye hiyo save tena au?
Post #3522Naomba links za Samsung Galaxy Note 10+ na Note 20 (Android 11)
Sioni tofauti ya picha ya camera iliyopo kwenye simu na hii niliyodownload.
Kuna settings zake unatakiwa kuload configs...kupata configuration ni pm nikupe link,hapa jf hazikaiSioni tofauti ya picha ya camera iliyopo kwenye simu na hii niliyodownload.
Ama kuna setting natakiwa kufanya?
I assistance ya Google Camera mkuu..!? [emoji39]
Chief niaje...mimi natumia Redme 9A nawezaje kudownload Google Camera ikaongeza Quality ya pics & Videos..!?Kuna settings zake unatakiwa kuload configs...kupata configuration ni pm nikupe link,hapa jf hazikai
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Hapana ni system kameraI assistance ya Google Camera mkuu..!? [emoji39]
Mkuu naomba config za Redmi 9t