Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Config ninayotumia picha zinatoka na mwaka hafifu mpka nipandishe manually kabla ya kupiga picha... Je Kwenye settings option ya kuongeza mwanga ni ipi
Natumia Gcam 7.3.018 by Urnyx05
 
Mi bado naona Kuna stock cam za baadhi ya simu ni Bora kabisa
Haipo stock cam bora zaid,,ingekuepo basi developer wange port hiyo camera kama walivyo port gcam...ukiona gcam yako haiko poa basi sio stable au haiko compatible na simu yako..yes coz ni port hiyo..
 
Haipo stock cam bora zaid,,ingekuepo basi developer wange port hiyo camera kama walivyo port gcam...ukiona gcam yako haiko poa basi sio stable au haiko compatible na simu yako..yes coz ni port hiyo..
Naomba ya Redmi Note 10 pro maana uliyokua umeweka nilifata hatua zote lakini Bado ilikua hafifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…