MWEMBEKIUNO
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,877
- 2,489
Hizi zinaweza tumia gcam?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vivo gan hiiHizi zinaweza tumia gcam?View attachment 2077579
Haipo stock cam bora zaid,,ingekuepo basi developer wange port hiyo camera kama walivyo port gcam...ukiona gcam yako haiko poa basi sio stable au haiko compatible na simu yako..yes coz ni port hiyo..Mi bado naona Kuna stock cam za baadhi ya simu ni Bora kabisa
Sina port ya urnxy,jarbu version tofaut au modder mwingineConfig ninayotumia picha zinatoka na mwaka hafifu mpka nipandishe manually kabla ya kupiga picha... Je Kwenye settings option ya kuongeza mwanga ni ipi
Natumia Gcam 7.3.018 by Urnyx05 View attachment 2085298
Upo sahihi!Mi bado naona Kuna stock cam za baadhi ya simu ni Bora kabisa
Naomba ya Redmi Note 10 pro maana uliyokua umeweka nilifata hatua zote lakini Bado ilikua hafifuHaipo stock cam bora zaid,,ingekuepo basi developer wange port hiyo camera kama walivyo port gcam...ukiona gcam yako haiko poa basi sio stable au haiko compatible na simu yako..yes coz ni port hiyo..
Nilifata link uliyokua umeweka humu..posts za nyuma kwahy hukuni-quote Moja Kwa Moja na nikafatlia uelekeoNilikupa ipi?
NashukuruUlitakiwa ujue ni gcam gani umetumia... anyways ngoja nikupe nikita uanze nayo
NAOmba ya Tecno camon 16 s
Mkuu then..![]()
Pakua iloandikwa eng apk
😅😅Kwan tumemalza mkuu?