Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Hata Mimi, naona Camera yangu ya simu inapiga picha Kali kuliko hiyo Gcam. Nahisi kuna settings nazikosea. Ni Oppo Reno5
 
Nnjr ya mada kidogo mtalaam
kcamp
Ivhi kati ya samsung note+ na xiaomi mi 11 lite 5g ne
Ipi iko njemaa sanaa...kuanzia kwenye battery na camera,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…