Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Mkuu naomba
Link ya gcamera Kwa oppo find X3 neo 5g
 
Kama kuna mtu anatumia redmi note 9 pro humu
Configure ipi iko poaa kwa gcam,naona nimeweka mpka iphone 12 pro napo ukungu2 tu
 
Picha imepigwa na TECNO Cammon 11.
Sioni utofauti na mi-Redmi note yenu hiyo!!
 
Sasa kuna ukali gani hapa.
Mnashobokea 'mibrand' ndio maana mnaishiwa kupigwa hela ndefu kununua cm hata uwezo mnaosifia hauonekani.
Mkuu vipi ulifanikiwa kuunganisha mabao? Anyways nakukumbusha huu uzi sio wa brand yoyote kama unavyosema wewe,huu ni uzi wa Google camera,kwaiyo hata ww kwenye Tecno Yako kama unaweza weka GCAM weka..Acha makasiriko

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…