Exynos haina support sana...jarbu hii old version kdogo, pakua v6
Ah!!!! Basi bhana uenda hii Simu haisapot maana namaliza MB tu hata hii haikubaliBasi futa hyo,BSG: MGC_8.1.101_A9_GV1zfix
Kisha weka hyo tuone
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Nipe link tuConfiguration hapa jf haikai,labda nikupe link ya telegram
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Mkuu, msaada wa gcam for samsung A23
A series zinasumbua mkuu... hivyo hutopata iliyotulia kabisaMsaada gcam for samsung A23
Mkuu samahan mm nime install gcam kwenye oppo A74 4g naona inapiga kazi japo zile setting za kupiga picha focus kweny kitu kimoja hamna.....camera2API
Sio kweli,umeitoa wapiMimi kwangu inaniambia nilipie 7000.
Hiyo itakua old version,unatumia version gani ya gcam?Mkuu samahan mm nime install gcam kwenye oppo A74 4g naona inapiga kazi japo zile setting za kupiga picha focus kweny kitu kimoja hamna.....
He hio camera2API ndo nikiiongeza ntakuta setting zaidii..?? Na naipataje hio camera
Kam ni phone Oppo A74 .... version 11Hiyo itakua old version,unatumia version gani ya gcam?
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Lkn pia oppo ya 2021Kam ni phone Oppo A74 .... version 11
Gcam ya 8.1 nahc
Daahhh inabidi niwe mpole tu ila ningeipata ningehangaika nayo hata kidogo nionje ladha yake [emoji39][emoji39]A series zinasumbua mkuu... hivyo hutopata iliyotulia kabisa
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app