Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Sawa, sisi wa tecno tumeshanyoosha mikono juu.
Naomba app ya camera itakayonipa picha nzuri, natumia tecno POP 5 pro ya 4G
 
Sawa, sisi wa tecno tumeshanyoosha mikono juu.
Naomba app ya camera itakayonipa picha nzuri, natumia tecno POP 5 pro ya 4G
Duhh mkuu mbona hiyo simu ya mwaka huu kabisa, Yani hii 2022 unatoa kibunda unaenda kumenya Tecno, aisee kweli kipenda roho hula nyama mbichi
 
Simu iko vizuri ila camera, daah wameniangusha sana
Ndomana me nimeshangaa kununua hiyo simu, kwa sababu ukitoa sifa ya ukubwa wa battery Tu bado ina uzamani mwingi sana Kwa simu inayotoka mwaka 2022, Kuna simu nyingi sana huu mwaka zenye thamani ya hiyo Tecno ila bora

Na kama saiz unasema camera haikufurahishi basi jipe muda kidogo ata hicho kidogo ulichonacho kitapotea, simu za infinix na Tecno waga ubora wa camera unapotea kadri siku zinavozidi kwenda
 
Daah maamae umeongea sahihi boss, mm mwnyw niliinunua mana ilkuwa mpya sokoni pamoja na video za YouTube ndo zikanipa nguvu ya kuinunua, kwa upande wangu simu iko vzr kila mahali ila hapo kwenye camera tuu ndo wamechefua
 
Pamoja Mkuu we enjoy upya
 
Sawa, sisi wa tecno tumeshanyoosha mikono juu.
Naomba app ya camera itakayonipa picha nzuri, natumia tecno POP 5 pro ya 4G
Yani nyie sjui tuwasaidiaje ndugu zetu [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…