Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Panorama
PXL_20221010_143118596.PANO.jpg
 
Ukisha-instal hii app; jinsi ya kupata updates za app. Mwenye kujua Tafadhali.
 
Wakuu nimegundua kitu kwenye Samsung galaxy note 10 plus kamera yake iko vzr hakuna tofauti na gcam niyoinstall picha Zina ubora sawa. Hata YouTube kuna dada alikuwa anafanya comparison Kati ya camera ya simu na gcam zote zina ubora sawa nimeamua kufuta gcam maana zinalingana
 
Redmi 10A nimedownload Nikita wakati na install inaandika hivi "app not installed."

Je nifanye nini?
Hyo maaana yake haikai, humo labda ujarbu version ya nyuma au zile go edition
 
Ukisha-instal hii app; jinsi ya kupata updates za app. Mwenye kujua Tafadhali.
Hazitoki kila mda hadi google waki update ndio Major update nazo zinatoka kweny gcam,lakini minor updates ingia kweny magroup ya telegram ya developer au kweny site kuu ya gcam , andika gcamhub google utaona site yenyewe.
 
Back
Top Bottom