Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Mkuu natumia Samsung Note 3 nimecheki bado haipo enable.
Lakini simu yango ipo Rooted. Naomba muongozo wako
wa Kuenable camera 2
Mkuu ku enable camera 2 api ni process ,inatakiwa simu yako iwe rooted kufanya hilo zoezi..sasa ww simu yako ipo rooted?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…