Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Mkuu nasubiria Galaxy Tab A, SM-T285
Android 5.1.1
 
Mkuu Samsung j4 2018
Screenshot_20190518-130837_Manual%20Camera%20Compatibility%20Test.jpeg
 
Mkuu hii ndio kiboko...ukipata simu yenye kusupport gcam basi usisahau kuiweka
Na je,hakuna apk kamera nyingine nzurinzuri kwa ajili ya sisi ambao version zetu ni za zaman kidoGo?
 
Kwanini haisupport baadhi ya simu.
Kwa sababu inaanzia android 7 lakini pia kwasababu imekua ported kwa chipset kubwa mbili snapdragon na exynos

Sasa kama sio simu zote zina hizo vigezo
 
Ts better ikafanya kazi vzr, manake App ina mb's kibao nachoma hapa.
Screenshot_20190518-200046.jpeg
 
Aiseee hii kitu INA nshawishi bongosmart kapost iz google pixel price laki4 kwa laki520 mm nilkua na mpango wa kuchukua A20 Samsung Ila hiii Pixel ina nishawishi wakuuu mnasemaje apaaa
 
Back
Top Bottom