Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Pixel ngapi mkuu
Aiseee hii kitu INA nshawishi bongosmart kapost iz google pixel price laki4 kwa laki520 mm nilkua na mpango wa kuchukua A20 Samsung Ila hiii Pixel ina nishawishi wakuuu mnasemaje apaaa
 
Ziko poa sana mkuu,,,hasa kama unapenda pure stock Android,zinakua nyepesi

Sema ungepata pixel 3 ingekua poa sana..maana soon wanaachia pixel 4
Hizi hapa mkuu cheki hii link man

 
Mkuu bila sim kuwa rooted hili zoezi halikubali? Vp Samsung s6 edge + inaweza kubali bila kuwa rooted? Unaweza kutusaidia link ya moja kwa moja kama unayo?
Mkuu bila root inakubali

S6 edge model gan mkuu
 
Kwny cm za Samsung zinafanya kazi kwan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…