Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Bangi nazo zinasaidia ,machafuko mengine ya gcam kwenye redmi 7mda huu kisa totoro.N sijui hata niliidownload kupitia link gani
 

Attachments

  • IMG_20190723_205628.jpg
    153.6 KB · Views: 34
Leo kidogo pressure iniue [emoji2955][emoji2955] niko nje ya mada wadau [emoji21]simu yangu nimeangusha chini leo , nikajua kioo nimeua kumbe kizima kabisa hata kukwaruzika hakuna [emoji14][emoji14]
 
Hio
 

Attachments

  • Screenshot_2019-07-23-22-24-01-670_com.google.android.GoogleCamera.png
    5.9 KB · Views: 37
Nimefanikiwa kuweka ya Redmi lakini naona bottom ya camera niki bonyeza haigipigi picha. Msaada tafadhali hasa kwenye settings.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…