EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
[
embu lete picha ya bwana jiwe pombe tuone komwe linatokaje
embu lete picha ya bwana jiwe pombe tuone komwe linatokaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei ikiotea zile offer zao Amazon zinashukaga sana mf: Prime Day,... Google Pixel 3a ilifika hadi $300Aisee hiyo Google pixel ni nomaa sana
Tatizo bei
Pixel 3aWe mtanga hapo umepiga n simu gani
Bei gani iyo simu mkuuPixel 3a
Bei gani iyo simu mkuu
Jiwe[
embu lete picha ya bwana jiwe pombe tuone komwe linatokaje
pumbavu zako umesoma shule gani wewe? nimesema jiwe lenye komwe,ndio nyie mkiambiwa na daktari mlete choo kipimwe mnaleta rambo zima la mavi badala ya kijimavi kidogo kwenye njiti ya kiberiti
NiuziePixel 3a
Mkuu unikumbuke na Mimi Oppo A3s utakapoingia kwenye ufalme wako.....amenBalaa
Igawe then ujiunge na Xiomi.YANI NIKIINGIAGA KWENYE HUU UZI ROHO INAUMA KWELI ILA NITAFANYAJE TENA SINA JINSI....TEAM TECNO
Samsung A7 (SM-A720F) mwaka 2017Uza mkuu [emoji16] uvute hata RN7
android 8.0Hii Ina android ngapi? Camera api iko enabled?
Itakua camera 2 api haiko enabled