The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Kwa tz sijui. C bora utafute mtu akusaidie kuagiza njeNazitafuta sana hizi simu za Google pixel, nataka nianze na google pixel 2 au 2xl najua bei yake haitokua juu sana kwa sasa. Wapi zinapatikana Tanzania hii??? Zanzibar nimezikosa hizi simu
Nimeona inauzwa aliexpress haina fast charging
Naona kwa samsung s ni kuanzia s8Samsung s6 inakubali mkuu?
Nazitafuta sana hizi simu za Google pixel, nataka nianze na google pixel 2 au 2xl najua bei yake haitokua juu sana kwa sasa. Wapi zinapatikana Tanzania hii??? Zanzibar nimezikosa hizi simu
Mkuu mbona zina virusView attachment 1095169
Dah!! Kwa iyo ni na tecno yangu k 9 mnanisaidiaje wajamenishukran mkuu kcamp nmefanikiw kuinstall ni camera moja nomaa sanaaa