Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

hapana mkuu s6 pia inakubali..mim natumia kweny s6
Mm nina Samsung A8 lakini nimejaribu kufwata link naona maluwe luwe...siwez kwenda moja Kwa moja kwenye Playstore nikadownload hiyo App?
 
Mm nina Samsung A8 lakini nimejaribu kufwata link naona maluwe luwe...siwez kwenda moja Kwa moja kwenye Playstore nikadownload hiyo App?

Akikujibu nitag.. nina SAMSUNG A8 pia ila ya mwaka 2015. Sijajaribu bado kudownload hiyo camera
 
a8 ya mwaka gan mkuu
Mm nina Samsung A8 lakini nimejaribu kufwata link naona maluwe luwe...siwez kwenda moja Kwa moja kwenye Playstore nikadownload hiyo App?
 
Nikihisi hata mm maana huwez kuinstal ikafanya kazi bila kubadilisha setting Google nawajua vizur...lazima uache alama
sio lazma mkuu...mim kwangu sjachange setting yyte,lakin pia kuchange setting ni kwaajili ya kuifanya irun vzur kweny sim yako..kumbuka hii ni port ya google camera
 
Nitafutie version za simu zifuatazo Tecno, vivo, redmi
 
Nazitafuta sana hizi simu za Google pixel, nataka nianze na google pixel 2 au 2xl najua bei yake haitokua juu sana kwa sasa. Wapi zinapatikana Tanzania hii??? Zanzibar nimezikosa hizi simu
Kuna jamaa wanaitwa bongosmart intagram nimeona post yao juzi fanya kucheki wana google pixel na google pixel xl.
 
Back
Top Bottom