Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Nimefanikiwa kuweka Gcam kwenye redmi note 7.. Well ni camera bomba sana lkn kwa upande wangu sijapenda vitu viwili.
Kwanza kwenye selfie vitu vinageuka kwa maana ya kwamba kitu kilichokua kushoto kwenye object kinatokea upande wa kulia wa image. Na hakuna settings za ku disable hiyo feature.

Pili, ina crush nikipiga picha kwenye night sight mode.

So in the mean time, I'll stick to my stock camera.
 
Umefanyaje mkuu nashindwa hapa kwenye redmi note 6 pro🤔
 
Umefanyaje mkuu nashindwa hapa kwenye redmi note 6 pro[emoji848]
Mkuu nimefanya ku google how to install gcam on redmi note 7 nikapata link nikasoma instructions kwanza halafu nikafanya yangu. So na wewe google kwa kuangalia model ya simu yako utafanikiwa.
 
Huawei p30, ninasubiria ka mpunga fulani niivute, nadhani inagonga 2.1M kama sikosei, kwa sasa hamna simu bora zaidi ya hii kwa mawazo yangu
 
Shot on Gcam on the Galaxy S8 [emoji41]
LRM_EXPORT_56631359561253_20190510_112542467.jpeg
 
Mkuu nimefanya ku google how to install gcam on redmi note 7 nikapata link nikasoma instructions kwanza halafu nikafanya yangu. So na wewe google kwa kuangalia model ya simu yako utafanikiwa.
Kiufupi google ila nimeona chenga na njia nilokutana nayo ni ya TWRP ndo maana nikakuuliza nilitaka fahamu je ni normal way au PC imehusika ila umetoa jibu jepesi sana anyway Ahsanteh mkuu.
 
mkuu kumbuka port zipo nyingi tena version tofaut..embu jarbu port za BSG naamin utapata version iliyo tulia...mimi tangu nipate stable version basi stock yangu hata siitaman tena

Back
Top Bottom