Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

mkuu kweny redmi yako njia yake lazma twrp ihusike maana unatakiwa ku anable camera 2api then ndio utaweza install gcam sasa
Kiufupi google ila nimeona chenga na njia nilokutana nayo ni ya TWRP ndo maana nikakuuliza nilitaka fahamu je ni normal way au PC imehusika ila umetoa jibu jepesi sana anyway Ahsanteh mkuu.
 
kcamp mimi natumia Samsung A8 ya 2015. Je inawezekana kuitumia hiyo Gcam kwa sim hii?
 
Kiufupi google ila nimeona chenga na njia nilokutana nayo ni ya TWRP ndo maana nikakuuliza nilitaka fahamu je ni normal way au PC imehusika ila umetoa jibu jepesi sana anyway Ahsanteh mkuu.
Samahani kwa jibu jepesi mkuu. Labda niseme hivi, ili kuweza kuinstall hii camera kwenye simu inabidi simu yako iwe na camera 2APi enabled.
Sasa bahati nzuri redmi note 7 ipo automatically enabled so haisumbui kwenye installation. Ila kwa baadhi ya devices ambazo hazijawezeshwa basi inatakiwa kuzi root kwanza. Ndo hiyo twrp unayosema, it means simu yako haijawezeshwa camera 2APi.
 
Sawa mkuu nitajaribu port nyingine, thanks kwa ushauri
mkuu kumbuka port zipo nyingi tena version tofaut..embu jarbu port za BSG naamin utapata version iliyo tulia...mimi tangu nipate stable version basi stock yangu hata siitaman tena
 
Back
Top Bottom