halloperidon
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,096
- 5,254
Vipi kuhusu NOKIA 9 PUREVIEW, maana naona wanasema ni only for professional photographer
to me pro stock camera is good hapo sijatumia potraitView attachment 1176502View attachment 1176503
natumia hii [emoji116]...ila note 7 gcam balaa...jarbu ku twist setting zako kdgo au uchek gcam yako why haikuridhish..unatumia 6.2?
Sure. Na mimi nimeona hivyo.binafsi naona stock camera ya RN7 PRO iko njema zaid ya gcam hasa kwenye potrait
natumia hii [emoji116]View attachment 1176908
Tumia 6.2 mkuu alaf hyo ni beta ,tafuta stable version,,
iphone wako vzrMimi nacheza na iPhone camera bomba
pixel zote zipo vzr kwenye camera ? vp pixel 3A nataka nijikok nivutePixel sasa ndio utakimbia mkuu
Pixel 3a na ile kubwa zinashare camera sensor hivyo picha quality ni the same tofauti inakuja speed ya kuprocess picha baada ya kubonyeza kitufe cha kupigia, pixel 3 inakuwa faster kutokana na dedicated chipset ( pixel visual Core) ambayo ina improve speed.pixel zote zipo vzr kwenye camera ? vp pixel 3A nataka nijikok nivute
Shida bei yake nanunua uwanja mkubwa sana tuiphone wako vzr
majuz nilipigwa picha kwa iphone xs max asee utasema ni photoshop
Jamani nina ka huawei nxt l29 nimejaribu kupima uwezo kanakubali tatizo sioni file la gcam kila ninalodownload linakataa msaada pleaseView attachment 1179289