Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

...ila note 7 gcam balaa...jarbu ku twist setting zako kdgo au uchek gcam yako why haikuridhish..unatumia 6.2?
natumia hii [emoji116]
Screenshot_2019-08-09-21-02-39-263_org.codeaurora.snapcam.jpeg
 
pixel zote zipo vzr kwenye camera ? vp pixel 3A nataka nijikok nivute
Pixel 3a na ile kubwa zinashare camera sensor hivyo picha quality ni the same tofauti inakuja speed ya kuprocess picha baada ya kubonyeza kitufe cha kupigia, pixel 3 inakuwa faster kutokana na dedicated chipset ( pixel visual Core) ambayo ina improve speed.
 
Jamani nina ka huawei nxt l29 nimejaribu kupima uwezo kanakubali tatizo sioni file la gcam kila ninalodownload linakataa msaada please
Screenshot_20190812-160537.jpeg
 
Back
Top Bottom