Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Mkuu Gcam ya redmi note 7 na note 7 pro zinaingiliana??,maaana nina note 7 pro hapa nataka nidownload gcam
Wakuu naona demand ni kubwa

Sasa kumalza mzozo...


Hiyo ndio gcam hub..pita kagua ukiiona simu yako basi we pakua..usipoiona inabid uvute subira tu..
 
REDMI note 7
IMG_20191123_102012.jpeg
 
Back
Top Bottom