Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Maana yake umewek version isiyo sawa na Android version yako

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nashukuru kwa mwitikio wako wa kutaka kunisaidia,baada ya kuhangaika namimi pia hatimaye nimeipata.ndugu yangu hapa ndio najua rasmi kuna uchawi unawekwa kwenye hizi camera za simu zifanye kazi iliyokusudiwa.hapa chini ni sample ya picha,kila kitu kikiwa kawaida mwanga ni wa bulb watt 8.sio flash ya simu.
stock camera
vs gcam
 

Attachments

  • 20191226_235800.jpg
    315.9 KB · Views: 2
  • IMG_20191226_235906.jpg
    328.1 KB · Views: 2
Hongera mkuu kwa kupambana...sasa hapo which is which
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…