mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
ya kawaida.
gcam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ya kawaida.
hapa kidogo mtihani mtaalam,ndio maana nimeomba link ya latest.Hdr ipo on? Pia umewahi jaribu potrait kwa watu? Gcam unayotumia version ipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
hapa kidogo mtihani mtaalam,ndio maana nimeomba link ya latest.
hdr iko on,potrait niliishaitumia katika simu nyingine kweli niliona utofauti na hii.
hio
naona 5.1.018 au sio hiyo.
Nahic kwenye security hujaruhusu..ruusu hlf u-install upyaKila nikitaka ku install inaniletea hivi.simu yangu ni j7 prime...android 8View attachment 1304027View attachment 1304028
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mkuu... anyway ngoja nikusakie..una Android version ipi vilenaona 5.1.018 au sio hiyo.
Kila nikitaka ku install inaniletea hivi.simu yangu ni j7 prime...android 8View attachment 1304027View attachment 1304028
Sent using Jamii Forums mobile app
ni 9 mkuu.
mkuu nashukuru kwa mwitikio wako wa kutaka kunisaidia,baada ya kuhangaika namimi pia hatimaye nimeipata.ndugu yangu hapa ndio najua rasmi kuna uchawi unawekwa kwenye hizi camera za simu zifanye kazi iliyokusudiwa.hapa chini ni sample ya picha,kila kitu kikiwa kawaida mwanga ni wa bulb watt 8.sio flash ya simu.

stock camera
vs gcam
hapo ni shot za kawaida kila camera.