Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Tatizo simu za huawei hazina fast charging, simu unachaji masaa matatu
Ila kwenye kamera wako vizuri

Una uelewa gani kuhusu battery....kuchaji for three hours kama inakaa siku nzima si tatizo.......yangu ina 4000mah nachaji for 4hrs ikiwa na around 10% nikiweka sa sita usiku sa kumi imejaa no prob....iko hivi chukua simu sawa kila kitu afu we fanya trickle chaji mwngne fast charge afu tumien kwa miez kadhaa tuje tupime battery ya nan ishaanza chakaa sana kuliko mwngine ....fast charge unaipa stress zile chemical kule ndan tumia chaja hiyo kama unaharaka lakn sio kawaida tu unataka ingiza 50 % sijui lisaa ...si jambo zuri kwa maisha ya battery
 

Bila kupoteza muda me pia nimeshangaa sana kutuletea picha za wahindi badala ulete ulizopiga wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…