Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Teknolojia imekuwa sana. Usiishi kwa kukalili. Hiyo fast charger kustress battry ilikuwa ni zamani. Ndio maana kwa sasa hakuna flagship phone inayokuja bila fast charger.

Mfano Realme X2 Pro ina 4000mAh unaichaji kwa dakika 30 then unaitumia for 2 days
Una uelewa gani kuhusu battery....kuchaji for three hours kama inakaa siku nzima si tatizo.......yangu ina 4000mah nachaji for 4hrs ikiwa na around 10% nikiweka sa sita usiku sa kumi imejaa no prob....iko hivi chukua simu sawa kila kitu afu we fanya trickle chaji mwngne fast charge afu tumien kwa miez kadhaa tuje tupime battery ya nan ishaanza chakaa sana kuliko mwngine ....fast charge unaipa stress zile chemical kule ndan tumia chaja hiyo kama unaharaka lakn sio kawaida tu unataka ingiza 50 % sijui lisaa ...si jambo zuri kwa maisha ya battery

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha hizo mkuu sasa 4000mah nitumie siku mbili.😀 Hzo stori hazifai kuna mtu na yeye alikuwa anasifia simu yake kukaa na chaj kumbe tunatofautiana matumizi mtu unawasha data kwa kuchungulia dk 0 umezima sasa utasemaje simu inakaa na chaji simu hiyo hiyo nikaishika nikaweka lain yangu masaa kadhaa kwishney
 
Teknolojia imekuwa sana. Usiishi kwa kukalili. Hiyo fast charger kustress battry ilikuwa ni zamani. Ndio maana kwa sasa hakuna flagship phone inayokuja bila fast charger.

Mfano Realme X2 Pro ina 4000mAh unaichaji kwa dakika 30 then unaitumia for 2 days

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndo mana nilkuuliza una uelewa gani kuhusu battery ...lemme tell you...battery technology ndo inaamua nini ukifanya utaipa stress ....hiyo realme sijui inatumia lithium polymer yenye 4000mah kama hii nayotumia ku type hapa....je unajua tabia za Li_po battery...je utabishana na mtengenezaji coz lipo zote duniani zinatabia moja i mean zinafanana tabia na SLA ni hivo hivo haijalishi imetengenezwa na ww au kiwanda kikubwa ....ku stress battery kuko pale pale....na pia specs zake zinasema hiyo simu inachajiwa had 50 kama sio 67 kwa lisaa je unajua hizo percent zilizobaki zinatumia muda gani ..au hujui kumalizia hizo % ni zaidi ya muda uliotumia kufika 67% ....hapo ndo costant voltage inakuwa applied every lipo or li ion chaja lazima iwe na stage mbili....sasa watu wa kiwandan i meanmean watengeneza simu hakuna anaetaka pitwa kila mmoja anataka onesha simu yake ni Bora ila weka kichwan nilichokwambia battery huwa zinapitia several test kama ya kuwa released kupima life cycle nk sasa kama kwa charge ya rate ya 1c battery ikatoa life cycle 500 bas ukizidisha utapata maisha mafupi thou huwez notice haraka utagundua badae
 
Wewe hiyo 50 mpaka 67 Ndani ya saa moja umetoa wapi?

Hiyo simu kufika 50 ni ndani ya around 10 minutes. Kuna charging test nyingi za hiyo simu zimejaa youtube. Hakuna charging test hata moja ambayo hiyo simu imejaa mpaka 100% in above 35 minutes.

Halafu ngoja nikuambie kitu. Hizo cases za kufa battery ni kwenye hizo low end na midrange smartphones hakuna high end smartphone inayokufa battery kijingajinga. I'm talking from experience.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa na matumizi rough inakata masaa 10. Matumizi rough ni kama kuplay heavy games kama Call of duty, PUBG, Fortinite n.k.

Ila kwa matumizi kama youtube insta tiktok n.k. inatoboa siku ya pili.

Wacha hizo mkuu sasa 4000mah nitumie siku mbili.[emoji3] Hzo stori hazifai kuna mtu na yeye alikuwa anasifia simu yake kukaa na chaj kumbe tunatofautiana matumizi mtu unawasha data kwa kuchungulia dk 0 umezima sasa utasemaje simu inakaa na chaji simu hiyo hiyo nikaishika nikaweka lain yangu masaa kadhaa kwishney
Halafu hizo mAh zisikuchanganye. Iphone 11 pro max ina just 3969mAh... Lakini inakaa na charge ianzizidi mpaka simu zenye 4500mAh.

Optimization ya OS nayo inamata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uelewa gani kuhusu battery....kuchaji for three hours kama inakaa siku nzima si tatizo.......yangu ina 4000mah nachaji for 4hrs ikiwa na around 10% nikiweka sa sita usiku sa kumi imejaa no prob....iko hivi chukua simu sawa kila kitu afu we fanya trickle chaji mwngne fast charge afu tumien kwa miez kadhaa tuje tupime battery ya nan ishaanza chakaa sana kuliko mwngine ....fast charge unaipa stress zile chemical kule ndan tumia chaja hiyo kama unaharaka lakn sio kawaida tu unataka ingiza 50 % sijui lisaa ...si jambo zuri kwa maisha ya battery
Sio kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom