Ndo mana nilkuuliza una uelewa gani kuhusu battery ...lemme tell you...battery technology ndo inaamua nini ukifanya utaipa stress ....hiyo realme sijui inatumia lithium polymer yenye 4000mah kama hii nayotumia ku type hapa....je unajua tabia za Li_po battery...je utabishana na mtengenezaji coz lipo zote duniani zinatabia moja i mean zinafanana tabia na SLA ni hivo hivo haijalishi imetengenezwa na ww au kiwanda kikubwa ....ku stress battery kuko pale pale....na pia specs zake zinasema hiyo simu inachajiwa had 50 kama sio 67 kwa lisaa je unajua hizo percent zilizobaki zinatumia muda gani ..au hujui kumalizia hizo % ni zaidi ya muda uliotumia kufika 67% ....hapo ndo costant voltage inakuwa applied every lipo or li ion chaja lazima iwe na stage mbili....sasa watu wa kiwandan i meanmean watengeneza simu hakuna anaetaka pitwa kila mmoja anataka onesha simu yake ni Bora ila weka kichwan nilichokwambia battery huwa zinapitia several test kama ya kuwa released kupima life cycle nk sasa kama kwa charge ya rate ya 1c battery ikatoa life cycle 500 bas ukizidisha utapata maisha mafupi thou huwez notice haraka utagundua badae