Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No flash its a night mode gcameraView attachment 1351367View attachment 1351368
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hiyo 50 mpaka 67 Ndani ya saa moja umetoa wapi?
Hiyo simu kufika 50 ni ndani ya around 10 minutes. Kuna charging test nyingi za hiyo simu zimejaa youtube. Hakuna charging test hata moja ambayo hiyo simu imejaa mpaka 100% in above 35 minutes.
Halafu ngoja nikuambie kitu. Hizo cases za kufa battery ni kwenye hizo low end na midrange smartphones hakuna high end smartphone inayokufa battery kijingajinga. I'm talking from experience.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu bila kupoteza muda,,Nimeshangaa kuona jukwaa la tech hadi leo hii hakuna uzi special wa GCam au Google camera.
Haina ubishi,hii ndio app bora ya Camera kuwahi kutokea,ambayo imetengenezwa na google wenyewe
Utakubaliana na Mimi kama tu umeshawahi tumia simu zao za pixel,zile simu zinapiga picha hatari,Hii yote imetokana na App bora ya camera waliyo nayo,ukiachilia camera specs.
FEATURES
Hii app ina features nyingi tu ila kubwa ninazoona ni 3 tu
1.GCAM POTRAIT MODE
Hii inajulikana kama bookeh effect au potrait mode kama nilivyo itaja,Hii ni ile feature ambayo camera inakua ina focus kwenye subject tu na kupotezea background huko nyuma,Nadhani ushaijua,Sasa potrait ya Gcam ni balaa maana inapiga mbele na nyuma,kwa maana hadi selfie camera ina potrait mode
hivyo kama utafanikiwa kuinstall basi utaenjoy hiyo feature na kuwashangaza marafiki zako as if unatumia Canon[emoji3]
2.HDR PLUS
Gcam inakuja na feature ya hdr+ ambapo picha zako zitaku very rich na hdr effect na kuzifanya kua bora zaidi ya stock camera.
3.Optimized Night mode
Kwa wale wazee wapenda picha za usiku basi Gcam ndio kiboko yake,hapa utapata great night shots kuliko stock camera ya simu yako.
DOWNLOADS
Sasa kwakua App hii ni special kwa sim za google na other android one devices basi ndio hapo kuna developers tofaut wakaweza ku port hii app kwa device zingine ili na sisi tuenjoy.
Hapa chini ninaweka link ya Gcam Hub ambapo ni kama center ya hizi app kwa simu zetu.,,hivyo utaingia na kusaka port sahihi ya simu yako
![]()
Google Camera Port Hub
This is a hub for all the various Google Camera ports for devices from Samsung, LG, HTC, Xiaomi, Motorola, and many more.www.xda-developers.com
![]()
Google Camera Ports Download
Modified Google Camera ports (Pixel Camera) by BSG, Arnova8G2, BigKaka, Shamim, and others. Download hub for GCam ports.www.celsoazevedo.com
au pia unaweza nenda google Gcam for your device na ukapata link nzur zaidi.
make sure unafata maelekezo kama yatakuepo katika process ya kuintall
##Kabla ya kutaka kuweka Gcam hatua ya kwanza kabisa unatakiwa kucheki kama simu yako itasuport Gcam kwa njia rahisi tu..yani kujua kama inaruhusu modification za camera...
![]()
Manual Camera Compatibility - Apps on Google Play
Easily check whether your device supports manual camera settings!play.google.com
tumia hiyo app kisha start and then weka result hapa
CHANGAMOTO
challenge kubwa ni ku crash kwa app kwa baadh ya simu hii ni kutokana na app hii kua ported na developers tofauti,hivyo usichoke kuchange port ya developer mwingine kama uliyo nayo inasumbua.
Wazee wa MTK devices hii kitu msahau tu,hakuna port ya mtk hadi sasa,,yani wakina Tecno na ndugu zake wote.
Baadh ya pics za Gcam naweka hapa chini,ila tu siwezi post sura yangu kwa privacy,nitaweka za wenzetu kutoka grup yaGcam huko facebook na baadh nilizopiga kwa sim yangu.
View attachment 1094995View attachment 1094996View attachment 1094997View attachment 1094998View attachment 1094999View attachment 1095000View attachment 1095005View attachment 1095006
Mkuu vipi kwa Samsung NOTE 5?, naweza pata link ya kudownload google camera?
Mkuu vipi oppo f9 na oppo f11 au na sisi tutulie kama wa tecno na infinix[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kufika 50% in ten minutes umetoa wapi [emoji16][emoji16]acha mihemko piga hesabu acha kudanganywa na wafanya biashara...unajua kuichaj battery ya 4000mah ifike 50% yake in 10min unahitaj chaja yenye inatoa 5V na zaidi ya 4A ..ambayo ni over 20w [emoji16] we unayo hiyo chaji.....
Tatizo la humu kila mtu ni mjuaji nimekwambia phones manufacturer wanachofanya kukucheat we unabisha ....
Umeona matatizo ya battery kwenye simu za i phone ...nyingi used zinazouzwa zishamaliza life cycle ..we unajua zinatokana na nn kwann nyingi life cycle imeisha mapema?? Acha ujuaji mkuu
Jmn msione niko kimya bado cjapata link ya simu yangu A30 mkiipata naombeni wapendwa wangu[emoji122][emoji122]