Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Kuna mtu anayo bado anatumia Google camera!

Sent using Jamii Forums mobile app
Gcam ni mwisho...labda mtu asie jua picha...kuna mtu kweny group la Xiaomi alikua na k20 sjui ile...kapost picha mbil moja ya gcam,moja stock..akaona stock imewaka sana...tunao jua picha tukamwambia angalia rangi ya wingu kweny stock lilikua jeupe[emoji3],gcam wingu la blue

Alipagawa na saturation ya stock camera wakt gcam ilitoa natural kabisa...ndio akajua gcam mwisho...hivyo uyo wa note 8 pro tena mtk hiyo bado hajui picha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee, trust me nimetumia devices nyingi tofauti zenye cams za quality tofauti ila nlichokuja kugundua ni kwamba kuna gadgets nyingine hauitaji app kutoa picha Bora, inbuilt camera inakua ina uwezo tosha wa kutoa picha yenye ubora wa hali ya juu

Sikatai..ila note 8 pro gcam ni the best... otherwise ulipata mod sio nzur...

Hebu weka hapa gcam na stock ya note 8 pro namimi nikueletee same pics za note 8 pro shot on gcam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gcam ni mwisho...labda mtu asie jua picha...kuna mtu kweny group la Xiaomi alikua na k20 sjui ile...kapost picha mbil moja ya gcam,moja stock..akaona stock imewaka sana...tunao jua picha tukamwambia angalia rangi ya wingu kweny stock lilikua jeupe[emoji3],gcam wingu la blue

Alipagawa na saturation ya stock camera wakt gcam ilitoa natural kabisa...ndio akajua gcam mwisho...hivyo uyo wa note 8 pro tena mtk hiyo bado hajui picha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naweza kuinstall kwenye redmi y2?
IMG_20200525_100517.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom