Hii ilikua bado kipengele...ngoja nichekvp Samsung a30s naweza nikapata link
Namananisha namb na herufUkisema model ipi una manisha nn mkuu zile model yani namba zile au??mfano ns .....mwisho F?
Sent using Jamii Forums mobile app
Gcam ni mwisho...labda mtu asie jua picha...kuna mtu kweny group la Xiaomi alikua na k20 sjui ile...kapost picha mbil moja ya gcam,moja stock..akaona stock imewaka sana...tunao jua picha tukamwambia angalia rangi ya wingu kweny stock lilikua jeupe[emoji3],gcam wingu la blue

Alipagawa na saturation ya stock camera wakt gcam ilitoa natural kabisa...ndio akajua gcam mwisho...hivyo uyo wa note 8 pro tena mtk hiyo bado hajui picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikatai..ila note 8 pro gcam ni the best... otherwise ulipata mod sio nzur...Mzee, trust me nimetumia devices nyingi tofauti zenye cams za quality tofauti ila nlichokuja kugundua ni kwamba kuna gadgets nyingine hauitaji app kutoa picha Bora, inbuilt camera inakua ina uwezo tosha wa kutoa picha yenye ubora wa hali ya juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikatai..ila note 8 pro gcam ni the best... otherwise ulipata mod sio nzur...
Hebu weka hapa gcam na stock ya note 8 pro namimi nikueletee same pics za note pro shot on gcam
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naweza kuinstall kwenye redmi y2?Gcam ni mwisho...labda mtu asie jua picha...kuna mtu kweny group la Xiaomi alikua na k20 sjui ile...kapost picha mbil moja ya gcam,moja stock..akaona stock imewaka sana...tunao jua picha tukamwambia angalia rangi ya wingu kweny stock lilikua jeupe[emoji3],gcam wingu la blue
Alipagawa na saturation ya stock camera wakt gcam ilitoa natural kabisa...ndio akajua gcam mwisho...hivyo uyo wa note 8 pro tena mtk hiyo bado hajui picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nijaribu nitaleta mrejesho shoon!
Hawa wahindi napata shida kuwaelewa, unaweza nipa link ya kudownload moja kwa moja?
Huitaj kuwaelewa wanasema nn.. chin pale kwenye description kuna link ya google driveHawa wahindi napata shida kuwaelewa, unaweza nipa link ya kudownload moja kwa moja?
Sent using..............
Unayotumia ww ni ipiMkuu naweza pata latest version kwa redmi note 7?