Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Natumia Oppo ax5s

Matokeo ya hio app hiyo

Naombeni mnisaidie nifanikishe hilo jambo

Nimeona process ndefu za kufanya ili hio camera ikae

Kama mtu yupo fresh nimfate anifanyie nitamtoa cha usumbufu ila asiiroot tu simu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…