Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba link kiongozi..Yes iko upgradable hadi 7
Shubaamitwatu wa Tecno fanya kama unanyoosha mkono na kupeleka kwenye kidevu........
Ya A51 ujaiona huko mkuuWale wa samsung a70 kuna version ya gcam nimeiona ipo very stable kila kitu kipo mwake mwake aisee but make sure umeupdate simu yako kwenda android 10.hili ni zaidi ya balaa.
MediaFire
but ina android ten n kubwa za ya A 10 mkuuHii ndogo sana
Wale wenye s6 ,s7 na s8
Basi hii hapa ni gcam stable kabisa...pia wenye xynos chip mnaeza jarbu
Utafata configuration za kweny hiyo video
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaiona mkuu ila jaribu hiyo yangu mkuu inaweza kubaliYa A51 ujaiona huko mkuu
nimepata apk zaidi ya sita tofauti tofauti lkn naona zina crash tu, nadhani kwa A50 hakuna app nzuri ya android 10Andika gcam for a50 mkuu utapata Google