Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

karbu mkuu ulimwengu wa Gcam[emoji16]
daa!! Aisee Bless Sana mkuu kwa kuleta thread hii,nime install hii app kwenye NokiaX6 yangu inapiga pichaaa kalii kinomaaa kuliko camera iliyokuwepo mwanzo kwenye simu.
 
Mkuu hii hapa ni Huawei P9 Global version
Android 7.0 Nougat
Ram 3GB
Rom 32GB

Itawezekana?
Screenshot_20190513-124311.jpeg
 
mkuu gcam ya huawei nimeona.kwa honor dwvice tu hadi sasa,,kama nitaipata ya p9 nitakupa link..kuna moja nliona xda ndio naisaka,nikiipata nitakupa link ujaribu
Mkuu hii hapa ni Huawei P9 Global version
Android 7.0 Nougat
Ram 3GB
Rom 32GB

Itawezekana?View attachment 1095914
 
mkuu gcam ya huawei nimeona.kwa honor dwvice tu hadi sasa,,kama nitaipata ya p9 nitakupa link..kuna moja nliona xda ndio naisaka,nikiipata nitakupa link ujaribu
Mkuu naomba link kwa ajili ya sumsung, model SM-J415F ya 2018
 
Back
Top Bottom