mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 944
Hapana inafunguka tu lakini muonekano wa picha naona kama sio tamuuu kama zile zakokuna error inaleta ukifungua hivyo hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana inafunguka tu lakini muonekano wa picha naona kama sio tamuuu kama zile zakokuna error inaleta ukifungua hivyo hivyo?
Mmmh iyo potrait naipata wapi samahani lakinpotrait option unaiona? hivi nimekupa link ya bsg au idan? nachanganikiwa mkuu [emoji16]
mkuu basi utakua umepata version ambayo sio nzuri...
ngoja nikuchekie ya s8
Nijaribu mimi au![]()
S8 Exynos Pie - working GCam mod for NightSight?
Hi, I am looking for a GCam mod for my S8 Exynos on Pie with working NightSight. I've installed most of the newest mods including the 5 most recent recomm…www.google.com
jaribuu hii thread ,ila ni s8 ya android pie
Vidonye vitatu avipo mkuufungua camera kisha utaona kushoto juu kuna vimstar vi3 gusa hapo kisha angalia.kama utaona option ya potrait
icon yake ikojenice mkuu na karibu kweny ulimwengu wa Gcam [emoji16]
Vidonye vitatu avipo mkuuView attachment 1096008
Mkuu mbona mim maombi yangu huyafanyii kazi,mmh hii sio inayotakiwa mbona,,,
![]()
IDan GCam APKs - Google Camera Port
Modified Google Camera app by IDan for older Samsung Exynos devices.www.celsoazevedo.com
pakua V3.2
Kwahiyo hapo nichague ipi mkuummh hii sio inayotakiwa mbona,,,
![]()
IDan GCam APKs - Google Camera Port
Modified Google Camera app by IDan for older Samsung Exynos devices.www.celsoazevedo.com
pakua V3.2
mmh hii sio inayotakiwa mbona,,,
![]()
IDan GCam APKs - Google Camera Port
Modified Google Camera app by IDan for older Samsung Exynos devices.www.celsoazevedo.com
pakua V3.2
Nimedownload moja kati ya izo imegoma @kcampView attachment 1096040View attachment 1096041
Mkuu mi nime-install hiyo kamera lakini sioni kama kuna tofauti na kamera yangu ya mwanzo.uliitoa ya mwanzo kabla?
Kwahiyo hapo nichague ipi mkuuView attachment 1096037