Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Attachments

  • Screenshot_20191106-110205_Manual Camera Compatibility Test.jpg
    Screenshot_20191106-110205_Manual Camera Compatibility Test.jpg
    41.4 KB · Views: 2
Nishaitumia sana na yote uliyosema ni kweli, ingawa sasa hivi inashindwa kufanya kazi kwenye simu yangu mpya, kamera ya nyuma inakubali ila ya mbele inagoma,,
 
Nishaitumia sana na yote uliyosema ni kweli, ingawa sasa hivi inashindwa kufanya kazi kwenye simu yangu mpya, kamera ya nyuma inakubali ila ya mbele inagoma,,
Simu gani ?
 
kcamp

Ulisema MTK phone hazisupport Gcam lakini ninesikia umidigi a5pro inasupport na pia ni MTK je ni kweli?
 
Hvi wadau kuna picha ukiziangalia mtu unamuona vizuri kabsa Lakn Ile background inakuwa na kama ukungu fulani Hv au haionekani vizuri Sasa Ile kitu inasababishwa na kamera au ni Photoshop?
 
Back
Top Bottom