Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Ndo shida ya mtk hii, sahau kupata gcam hivi karbuni...simu za mtk hazina support nzur ya developers mkuu

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Mkuu mimi ninatumia Oppo A3s lakini mpaka sasa simu yangu haisupport hii Camera kufanya kazi ila nainstall ..
Screenshot_2020-09-15-13-13-37-73.jpg
 
Back
Top Bottom