Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Nmecheki hii simu haina support mkuu

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Kaka nina Samsung Galaxy S 10+ naomba unisaidie link ya kamera
Screenshot_20210124-132901_Settings.jpg
 
Hii link ikekubali kudownload lkn camesa imestak sana kwenge galaxy S7 sasa kumbe kuna ujanja niwape hapa ukisha i load kwa simu nenda kwenye setting ya gcamera then advance then hdr+parqmeter then click default 8/10 then configure camera hcr then nexus then HCR front click off then rudi nyuma kbsa setting ya phone then app then camera then force stop u click hapo umemaliza mziki umetulia camera ya gcam inakuwa mbele front page yani ileile ya simu inakuwa ya gcam blessed.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kaka Samsung A20s, front camera fresh, ila camera ya nyuma inagoma aisee.
Ila kuna picha nilimpiga mtoto wa jirani, kabla haijaanza hivyo.Ilitoka poa sana.
Nipe alternative.
Jarbu ku clear app data kisha run upya uone

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Bro link ya Samsung A51

Jarbu hii

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom