Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Mkuu wangu naomba unisaidie link ya vivo y 11(2019)nilizopakua Zina rush sana
 
Habu jarbu hii

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Nina download ilifikia asilimia kadhaa inaji pause halafu inagoma kuendelea

Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_2021-02-24-14-32-26-930_com.google.android.GoogleCameraEng.jpg
    Screenshot_2021-02-24-14-32-26-930_com.google.android.GoogleCameraEng.jpg
    65 KB · Views: 2
Tayari mkuu
https://www.celsoazevedo.com/files/android/p/f/2020/09/9-ngcam-v1-5-.xml

Pakua kwanza hizo configurations file hapo..

Kisha cheki hii video kuona jinsi ya kuload xml file zako na kutumia kweny gcam..uta paste zote hizo mbili kweny configs7 folder..ila ukienda kurestore sasa kweny gcam kule utachagua ya kwanza kisha utapiga picha uone kama inaridhisha,ukiona hujaipenda utaload xml ya pili pale pale uone nayo inapigaje kazi..hizi xml ni setting nzur za gcam ambazo watu wmesave..sasa ww unaweka kwako coz haujui kuiset gcam vzr..hivyo xml inakuja na best settings...

Ukiona xml zote mbil hizo hujapenda basi clear app data ili kuload default settings tu.

Ukimalza kuload gcam xml file yako..

Shukran mkuu
 
Back
Top Bottom