Hapana..mkuu...mpaka sasa hakuna..na ingekuepo basi ungeona developers wanaport hiyo camera ya simu kweny simu zingine...google peke yake ndio mweny camera iliyo ported kwa simu zingine zote...imagine mpka one plus kaanza kuiwekea limitation gcam kweny update mpya..na watu wakwawashia moto kweny forum yao..waache ukuda watoe limitations[emoji16][emoji16]
Ukiona gcam haijatoa picha nzuri jua setting zako hazipo vzr...au gcam hiyo sio nzur kwa simu yako...ndiomana kuna configs files skuiz kwaajil ya setting nzur kama huwez kuiset mwenyew...
Mpaka sasa hakuna stock inafanya maajabu ya gcam
Sent from my M2101K7AG using
JamiiForums mobile app