Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Mara nyingi uwa naweza kuwa nafanya kazi nikasahau kusave nijikuta mara softare imefreeze, nimepoteza kazi kubwa niliyokuwa nimefanya. Ila mara kibao nikiwa nafanya kazi na wenzetu mara nyingi wana prefer tutumie google docs/sheets ili waweze kutrack progress ya kazi. Uzuri ni cloud service hivyo kila unachofanya kinakuwa saved huwezi kipoteza. Sasa slowly by slowly nimejikuta naanza kuipenda ila nahisi nitahamia jumla hata office niondoe kwnye PC yangu.
Leo nimekasirika sana, kuna spread sheet nilikuwa naziandaa, nimefanya kazi kwa zaidi ya lisaa bila kusave. Nikaja paste data flani, Excel ikawa ghafla not responding, mara ikajifunga. Kuifungua ikanirudsha kazi ya nyuma kabisa ya mwanzo mwanzo. Nimehisi kupoteza uhai.
Na kila nikitaka paste ikawa inasumbua. Nikaona isiwe tabu, nikaimport ile spreadsheet kwenye google docs, nikaendelea fanya kazi mpaka nimemaliza spreadsheet zangu vizuri tu. Kisha nikazi export Xlsx na kumtumia mhusika.
There is beauty in simplicity.