Google docs and sheets kwangu imeanza kuwa bora zaidi ya MS office

Google docs and sheets kwangu imeanza kuwa bora zaidi ya MS office

Umetoa sababu dhaifu ya ku save document just in case software imefreeze.

Nijuavyo mie ikitokea hali kama hio basi ukifungua tena document yako utakuta option kushoto ya document ambayo unaweza ku recover.
Hii hafanyi kazi muda wote, sometimes unaikuta lakini haikurudishi kwenye latest update uliyokuwa umefanya unaweza kuwa umefanya mpaka page ya 120 ikarecover mpaka 90.
 
Kwa wanaokuwa na internet muda wote sawa watumie google docs, ila wale wa Microsoft office njia rahisi na pekee ya kuogopa kupoteza kazi ni kuruhusu autosave unaweka iwe inasave automatic kila baada ya dk.2 hivyo changes zozote utakazo fanya zitakua saved hata umeme ukikatika tofauti ya kazi itakua ni dk 2.
 
Back
Top Bottom