Kwa wanaokuwa na internet muda wote sawa watumie google docs, ila wale wa Microsoft office njia rahisi na pekee ya kuogopa kupoteza kazi ni kuruhusu autosave unaweka iwe inasave automatic kila baada ya dk.2 hivyo changes zozote utakazo fanya zitakua saved hata umeme ukikatika tofauti ya kazi itakua ni dk 2.