Trip to Trip from one continent to another. One day she will go to Antarctica to wonder some bulk of frozen ice.Mchakamchaka wa kujenga madarasa nchi nzima utaishangaza dunia kupitia Google Earth waki update image zao by January 2022. Nchi itakuwa imejaa mijengo tu nchi nzima. Huwezi amini Kuna shule naijua imepewa madarasa kumi kwa mpigo. Hakyanani mama unajua kucheza draft bila mbwembwe. Watu wengi Sana hasa wa kipato Cha chini wanaenda kupata kazi kwenye hii miradi . Mama piga kazi.
Dunia hawezi shangazwa kwa mambo ambayo yalibidi yawe yamefanyika miaka 30 iliyopita. Dunia inashangazwa na mambo mengine makubwa mkuu siyo haya ya watu tuna mito na mabonde lakini kuna watu hawapati maji ya kunywa na huku kwetu bunju leo siku ya 3 maji hayatoki kwenyye mabomba 🤣Mchakamchaka wa kujenga madarasa nchi nzima utaishangaza dunia kupitia Google Earth waki update image zao by January 2022. Nchi itakuwa imejaa mijengo tu nchi nzima. Huwezi amini Kuna shule naijua imepewa madarasa kumi kwa mpigo. Hakyanani mama unajua kucheza draft bila mbwembwe. Watu wengi Sana hasa wa kipato Cha chini wanaenda kupata kazi kwenye hii miradi . Mama piga kazi.
Umeongea point kubwa sana. Ili jambo nilishawahi kulifikiria kuhusu bodi ya mikopo ya elimu ya juu, niliwaza kuwe na bodi ya mikopo ya wahitimu wa kidato cha sita kwa ajili ya biashara ndogo ndogo na wawekewe mfumo mzuri wa kurejesha.Ikiwa maisha yako yanadundika kwa kufuata midundo ya wanasiasa ujue basi wewe ni taahira au ni kabwela nusu kaputi so huna ujanja wa kujiongeza kujikomboa na familia yako, au ndio umeshajikatia tamaa....
Bado mnajikomba kwa mliowaita mabeberu ili mtumie teknolojia zao?Mchakamchaka wa kujenga madarasa nchi nzima utaishangaza dunia kupitia Google Earth waki update image zao by January 2022. Nchi itakuwa imejaa mijengo tu nchi nzima...
Jengeni madarasa huku mkiangalia na mitaala inazalisha nini hicho ndo chamuhimu acha kampeni zako tu za kusifu.Ulitaka wakae nyumbani wazaane tutengeneze familia za malumpeni? Yasiyojua kusoma na kuandika?
Hii ni changamoto , sio ishu kubwa, Dangote yupo busy kuliteka soko la cement na amejipanga kweli kweliTarajia kutokea uhaba wa simenti,na bei kupanda.
Swala sio madarasa swala ni kuwa je,tutaendelea kuzalisha wanafunzi wanaokuja kukosa ajira mpk lini..?
Kwa mtaala upi mama..?Watu waelimike waende extra miles tupunguze kutegemea ajira za serikali
Hii ni world wide.
Kabisa, kuna jamaa mmoja kasema bora angebadili mtaala kuliko kujenga madarasaSwala sio madarasa swala ni kuwa je,tutaendelea kuzalisha wanafunzi wanaokuja kukosa ajira mpk lini..?