Jay_255
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 743
- 1,305
Kwa wale wanaomiliki google play console.
Google play console ni account wanazomiliki watu wanaoweka apps zao playstore.
Kwa sasa kama una google play console ambayo ina zaidi ya mwaka mmoja tokea uisajili basi unaweza ukaiuza kuanzia milioni 3 na kuendelea.
Ila hakikisha tu ila app ambayo ipo live playstore.
Kama wewe unamiliki google play console na huna mahitaji nayo tena na ungependa kuiuza tuwasiliane sasa hivi.